Wild Thouhts Ya Dj Khaled Ft Rihhana, Bryson Tiller Yafikisha Views Millioni 8 Ndani Ya Siku Moja.
Sunday, 6 May 2018
Edit
Ni jambo la kushangaza kidogo ila kwa mkali DJ KHALED ni jambo la kawaida sana, nyimbo iliyotoka jana a DJ Khaled - Wild Thoughts ft. Rihanna, Bryson Tiller imefikisha views million 8 ndani ya siku moja. historia hii haijawahi vunjwa hapa tanzania.. lakini mkali diamond platnumz bado anaongoza kwa kuwa wa kwanza kuwa na views milioni ndani ya wiki.
Sumber https://www.sanjaboy.com/