New Video: Genevieve – Bonnie & Clyde
Sunday, 6 May 2018
Edit
Miss Tanzania 2018 ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo cha IFM, Genevieve ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Bonnie & Clyde’. Imeongozwa na Ivan na na wimbo umetayarishwa na Tris, hii ni kazi yake ya pili baada ya ‘Nana’ aliyoiachia mwezi April mwaka huu.
Sumber https://www.sanjaboy.com/
Sumber https://www.sanjaboy.com/